Skip to main content
Skip to main content

ODM waonya wapinzani dhidi ya siasa za ukabila

  • | Citizen TV
    1,038 views
    Duration: 2:56
    Viongozi wa ODM wamewaonya baadhi ya viongozi wa upinzani dhidi ya kujipiga kifua kuhusu ushawishi wao wa kisiasa. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Gladys Wanga, viongozi hao waliokuwa eneo bunge la Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay, wameonya dhidi ya kuendeleza siasa za ukabila na kuwataka watu wa Nyanza kumuunga mkono Rais William Ruto.