- 4,071 viewsDuration: 3:08Ofisi ya Rais William Ruto ilitumia shilingi milioni 800 katika mwaka wa kifedha uliopita kuchapisha stakabadhi za afisi yake.Ripoti ya mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o pia imeonyesha kwamba Ikulu ya Nairobi ilitumia shilingi milioni 400 katika mwaka huo, kukarabati na kutia nakshi Ikulu