Skip to main content
Skip to main content

Ongezeko la shinikizo la Damu na Kiharusi waibua wasiwasi

  • | KBC Video
    164 views
    Duration: 2:00
    Maafisa wa afya wa kaunti ya Embu wamefadhaishwa na ongezeko la visa vya magonjwa ya shinikizo la damu na kisukari katika eneo hilo. Hii ni baada ya kugunduliwa kuwa asilimia 60 ya wakazi waliofanyiwa uchunguzi wakati wa kambi ya matibabu bila malipo hivi majuzi wanaugua magonjwa hayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive