16 Jan 2026 10:10 am | Citizen TV 1,020 views Duration: 59s Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat amesema idara ya usalama imejitolea kumaliza kabisa magenge ya wahalifu katika maeneo ya Pwani na Kaskazini Mashariki.