- 290 viewsDuration: 2:11Kanisa la PCEA nchini limewataka viongozi wa kisiasa kusitisha kampeni za uchaguzi wa mwaka ujao likiwataka Viongozi wote kurejea afisini na kukamilisha majukumu waliyopewa na wakenya miaka minne iliyopita. Msimamizi wa kanisa hilo Thegu Mutahi,ameelezea kutamaushwa na cheche za maneno zinazotolewa kwenye mikutano hio ya kisiasa, akionya zinatishia machafuko ya kabla na baada ya uchaguzi.