Pendekezo la kufanyika kwa kura ya maamuzi na Waziri mwandamizi Musalia Mudavadi, limeendelea kuzua mvutano wa kisiasa nchini, huku viongozi wa upinzani wakipinga vikali hatua hiyo na kuibua maswali mazito kuhusu nia na muda wa pendekezo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya