Skip to main content
Skip to main content

Polisi anayetafutwa kwa mauaji ya Kyalo Mbobu na Victoria Mutiso akamatwa Eldoret

  • | Citizen TV
    6,659 views
    Duration: 2:13
    Afisa wa polisi aliyekuwa akitafutwa kuhusiana na mauaji ya wakili Kyalo Mbobu na Daktari Victoria Mutiso amekamatwa mjini Eldoret, katika hatua mpya ya uchunguzi wa mauaji hayo. Inspekta Kenneth Kipkemboi Sang alikamatwa akiwa anaendesha gari linalodaiwa kuwa lilikuwa likiuzwa. Ode Francis anaarifu.