Skip to main content
Skip to main content

Polisi mjini Kitale wazuilia washukiwa 76 wa uhalifu

  • | Citizen TV
    9,730 views
    Duration: 3:09
    Polisi mjini Kitale wanawazuilia washukiwa 76 wa uhalifu, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika katika kisa cha kutoweka kwa mke wa mfanyabiashara mmoja pamoja na bastola yake.