Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza miili miwili iliyopatikana karibu na kituocha polisi cha Mbale

  • | Citizen TV
    1,129 views
    Duration: 2:22
    Maafisa wa polisi katika eneo la mbale kaunti ya Vihiga wameanzisha uchunguzi wa maiti mbili zilizopatikana kwenye shimo la maji chafu mita chache tu kutoka kituo cha polisi cha Mbale. Miili hiyo ya mwanamume na mwanamke imetambuliwa huku familia moja ikidai kuwa mmoja wao ni jamaa yao alitoweka wiki tatu zilizopita