- 15,257 viewsDuration: 3:11Polisi mtaani Dandora wanamtafuta mtu mmoja kwa madai ya kuhusika na mauaji ya mwanawe wa umri wa miaka 15. Inadaiwa kuwa Nelson Omeno alimtandika mwanawe alipoondoka kwenda kumtembelea mamake ambaye walikuwa wametengana. Mwili wa binti huyu baadaye ulipatikana nje ya hospitali ya Mama Lucy ulikopatikana na majeraha.