16 Jan 2026 10:40 am | Citizen TV 344 views Duration: 1:07 Polisi kutoka eneo la Borabu katika kaunti ya Nyamira wamemwaga lita 640 za pombe haramu aina ya chang'aa, iliyonaswa kwenye chumba kimoja cha kukodisha eneo hilo.