Maafisa wa polisi katika kaunti ya Lamu wameonya kuhusu kuchipuka upya kwa magenge ya vijana yaliyojihami kwa panga katika Kisiwa cha Lamu. Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Lamu ya kati William Ngolo amesema makundi hayo, ambayo awali yalidhibitiwa kupitia ushirikiano kati ya maafisa wa polisi na wakazi, yameibuka tena na kuhatarisha usalama wa wananchi. Taarifa kamili katika dira ya kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive