22 Dec 2025 7:10 pm | Citizen TV 7,417 views Duration: 3:05 Maafisa wa upelelezi wamewatia mbaroni washukiwa wawili wanaohusishwa na wizi wa pikipiki jijini Nairobi. Genge la wezi limeripotiwa kuwauwa na kuwajeruhi wahudumu wa pikipiki na kisha kutoweka na pikipiki hizo.