Skip to main content
Skip to main content

Rais aamrisha wakazi kusalimisha bunduki haramu

  • | Citizen TV
    3,806 views
    Duration: 3:01
    Rais William Ruto amewaamrisha wanaoishi kwenye maeneo yanayokubwa na machafuko huko Narok kurejesha bunduki haramu mara moja. Rais ameapa kuhakikisha kuwa amani imerejea eneo la Transmara. Watu kadhaa wameuwawa na mamia kuhama kwao baada ya nyumba zao kuteketezwa.