- 1,638 viewsDuration: 3:58Rais William Ruto amepuuzilia mbali upinzani, akisema umesheheni hasira, wivu na migawanyiko, na hauna ajenda madhubuti ya kuikabili serikali yake. Aidha, alimshutumu rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kufadhili kile alichokitaja kuwa “Upinzani wenye hasira,” baada ya serikali ya Kenya Kwanza kutekeleza miradi ambayo alisema Uhuru alishindwa kukamilisha alipokuwa madarakani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive