Skip to main content
Skip to main content

Rais afungua maonesho ya kibiashara ya Mombasa

  • | KBC Video
    247 views
    Duration: 2:08
    MAONESHO YA KIMATAIFA Rais William Ruto amesifia jukumu muhimu ambalo kilimo kinatekeleza katika uchumi wa taifa hili. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya biashara mjini Mombasa, rais alitaja ajira, uzalishaji, uongezaji thamani na utayarishaji bidhaa za kilimo kama nyanja ambazo zimenufaika na kilimo na kuchochea ukuaji wa uchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive