- 877 viewsDuration: 3:42Rais William Ruto amesema hakuna mpango wowote wa kuondoa ada maalum ya utunzaji wa barabara licha ya shinikizo zinazoongezeka kufuatia ongezeko la hivi punde la bei za mafuta. Kiongozi wa taifa alitetea ada hiyo akisema ni chanzo kikuu cha ufadhili wa miundo msingi ya barabara, na ni muhimu pia katika juhudi zake za kuhakikisha ugavi sawa wa maendeleo katika sehemu zote nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive