- 5,852 viewsDuration: 4:05Rais William Ruto ameupongeza wajibu wa vijana katika kulitumikia taifa kupitia uwezo wao wa kipekee. Rais Ruto, aliyezungumza hayo katika ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya utoaji tuzo ya rais kwa vijana, alisema kwamba kwa kutumia uwezo huo, maono ya kubadili hadhi ya taifa hili kuwa taifa lililostawi kiuchumi, yanaweza kuafikiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive