Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto apuuza madai kwamba amebuni miungano kwa kuzingatia jamii

  • | KBC Video
    325 views
    Rais William Ruto ameendeleza siasa za kinyang'anyiro cha mwaka 2027, akiwataka wapinzani wake kufanya kampeni kwa kuzingatia ajenda zao za maendeleo badala ya kutegemea misingi ya kikabila. Katika siku ya pili ya ziara yake ya siku 10 kwenye eneo la North Rift , rais alisema kuwa, uchaguzi ujao unapaswa kuamuliwa kwa kuzingatia uongozi, utenda kazi na mipango mbadala kwa ajili ya Kenya, na si kwa misingi ya miungano ya kikabila. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive