Rais William Ruto amepuuzilia mbali vuguvugu linaloongozwa na Edwin Sifuna la 'Linda Mwananchi', akiitaja kampeni yao ya uzingatiaji katiba na utawala wa sheria kuwa isiyo na msingi. Rais alidumisha kwamba utawala wa kikatiba unatokana na uamuzi wa kidemokrasia wa wapigaji kura, akidai wakosoaji wake wanaangazia tu shutma badala ya kuweka wazi mipango yao kwa ajili ya taifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive