Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema serikali imetimiza ahadi zake kwa Wakenya

  • | KBC Video
    4,773 views
    Duration: 3:59
    Rais William Ruto anasema serikali imedumisha uaminifu kwa ahadi zilizomwezesha kutwaa mamlaka mwaka wa 2022, akisisitiza kuwa utekelezaji wa manifesto ya Kenya Kwanza unaendelea kama ilivyopangwa. Kiongozi wa taifa aliyeanza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift huko Tinderet, Kaunti ya Nandi, alisema anaweza kubainisha ufanisi wa serikali yake kwa Wakenya na yuko tayari kukutana na wapiga kura tena. Aliushutumu upinzani kwa kukosa mawazo mapya ya kuliendeleza taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive