Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto amewakashifu vikali wapinzani wake wanaopinga azma yake

  • | Citizen TV
    5,267 views
    Duration: 2:55
    Rais William Ruto amewakashifu vikali wapinzani wake wanaopinga azma yake ya kufanya taifa kuwa miongoni mwa mataifa tajiri duniani. Akizungumza katika mnada wa kimalel kaunti ya baringo rais ruto amesema safari hiyo ya singapore itaendelea na tayari matunda yamenza kuonekana kupitia ujenzi wa nyumba za bei nafuu.