- 3,600 viewsDuration: 2:06Rais William Ruto sasa anasema muungano wa chama cha uda na ODM lazima upate ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. akizungumza katika kongamano la viongozi wa muungano huo huko naivasha, rais Ruto ameelezea mafanikio ya serikali yake anayosema yataupa muungano huo ushindi akisema ushindi wa upinzani utasambaratisha azma ya kubadilisha taifa la kenya. mkutano huo unafanika ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya wakenya kwenda debeni kwa uchaguzi mkuu agosti mwaka ujao