- 1,768 viewsDuration: 2:31Rais William Ruto, sasa anasema ukosefu wa ajira kwa vijana umesababishwa na uongozi mbaya, akielekezea lawama serikali za watangulizi wake. Akizungumza katika kaunti ya Machakos alipoongoza awamu ya sita ya utoaji wa mtaji wa biashara chini ya mradi wa NYOTA, Rais Ruto pia ameendelea kuwashambulia wapinzani na wakosoaji wake, aliowataja kama maadui wa maendeleo