3 Dec 2025 7:47 pm | Citizen TV 8,359 views Duration: 58s Rais William Ruto amewasili jijini Washington DC Marekani kwa hafla ya kutia saini mkataba wa amani kati ya nchi ya DRC na Rwanda, itakayofanyika katika ikulu ya White House.