Skip to main content
Skip to main content

Ruto Ruto asifia ajenda ya serikali yake

  • | KBC Video
    4,513 views
    Duration: 5:28
    Rais William Ruto alitumia sherehe za mwaka huu za 63 za kuadhimisha siku kuu ya mashujaa kwa kutetea rekodi ya maendeleo ya serikali yake huku akianzisha mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akiitaja ajenda ya serikali yake kuwa mchango wa kizazi cha sasa katika kupigania uhuru, rais alitoa changamoto kwa viongozi wanaotafuta nyadhifa wabadili mjadala wa kisiasa kutoka siasa za umarufu wa kibinafsi na ukabila hadi siasa zinazoangazia sera na utekelezaji wa mipango. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive