18 Oct 2026 9:04 pm | KBC Video 202 views Duration: 1:16 Ruto: Nilisimama mbele ya Wakenya nikawaambia inawezekana kubadilisha makao. Leo hii watu wengi ambao hawangefikiria inawezekana kuwa na nyumba, wako na nafasi ya kuishi kwa nyumba za bei nafuu.