- 330 viewsDuration: 2:32Zimekuwa pilkapilka za dakika za mwisho kwa wazazi wanaowaandaa wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu kuanzia hapo kesho. Foleni ndefu zimeshuhudiwa kwenye maduka ya sare na vitabu huku bei za bidhaa pia zikionekana kupanda. Na kama Willy Lusige anavyoarifu, wakuu wa shule sasa wanaonya kuhusu uhaba wa walimu wa gredi ya 10 ya elimu ya CBE