- 131 viewsDuration: 1:42Serikali za Kitaifa na za Kaunti zimetakiwa kutenga fedha zaidi za ubunifu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali ili kuwasaidia kuimarisha miradi yao tofauti wanapoendelea na masomo kama njia moja ya kuwezesha kupata mapato na kujiajiri mapema. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya