Skip to main content
Skip to main content

Serikali kushirikiana na kaunti kudhibiti maambukizi ya Ebola

  • | KBC Video
    252 views
    Duration: 2:21
    Wizara ya afya inashirikiana na baraza la magavana kuimarisha mipango ya kukabiliana na uwezekano wa chamko la ugonjwa wa Ebola kwa kuziba mianya iliyopo katika vituo vya kuwatenga wagonjwa, vifaa vya dharura vya matibabu na mifumo ya ufuatiliaji wa wagonjwa. Katibu wa idara ya afya ya umma, Mary Muthoni, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha uwezo wa kaunti wa kukabiliana ipasavyo na ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive