Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuwakinga Wakenya dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta

  • | KBC Video
    756 views
    Duration: 2:51
    Serikali itaendeleaa kuwakinga wakenya dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta duniani kwa kutumia ushuru wa bidhaa za petroli. Akifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu hazina maalum, Katibu wa mafuta Kello Harsame alisema kuwa meli tatu zilikuwa zimebeba mafuta zilishambuliwa hivi majuzi katika eneo la Ghuba, zilipokuwa zikielekea humu nchini , jambo ambalo limesababisha uhaba mkubwa wa mafuta sokoni na kuifanya serikali kuingilia kati. Wabunge walitaka ufafanuzi kuhusu jinsi ushuru wa bidhaa za petroli ulivyotumika kutoa vishawishi vya kupunguza bei za mafuta hapo awali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive