16 Jan 2026 10:36 am | Citizen TV 253 views Duration: 1:53 Serikali ya kaunti ya Kirinyaga imeendelea kukarabati barabara ili kuwawezesha wakulima kufikisha mazao yao sokoni kwa wakati unaofaa.