Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Makueni yanunua maembe ya wakulima

  • | Citizen TV
    2,064 views
    Duration: 3:08
    Serikali ya Makueni imeanza kununua maembe ya wakulima kwa takriban shilingi miloni 13.9 ikilenga kununua tani 580 msimu huu maembe ambayo yatatumika kutengeneza shurubati katika kiwanda cha wakulima cha matunda cha Kalamba. Mpango huo unatarajiwa kuwapunguzia hasara wakulima wa maembe huku maembe mengine yakatarjiwa kupelekwa mataifa ya nje