- 245 viewsDuration: 3:34Huku Kenya ikiwa miongoni mwa mataifa ya bara afrika ambapo wananchi wake hukumbwa na makali ya baa la njaa, serikali ya kaunti ya Taita Taveta kwa ushirikiano na shirika la msalaba mwekundu inaendeleza mpango wa kusaidia wakulima wa mpunga. Kwa sasa jumla ya watu milioni 175 ambayo ni asilimia 60 ya wakazi barani afrika wanakabiliwa na baa la njaa huku mikakati ya uimarishaji wa kilimo ikiendelea kufanywa na mashirika sawa na serikali. Julius Joho na mengi zaidi kutoka kaunti ya Taita Taveta.