Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaamrishwa kutenga zaidi ya Sh100 milioni kuwafidia waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    420 views
    Duration: 2:34
    Serikali imeamrishwa kutenga zaidi ya Sh100 milioni kutoka kwa mfuko wa fidia wa Sh2 bilioni kuwafidia waathiriwa wa maandamano. Jaji wa Mahakama Kuu Gregory Mutai amesema walalamishi wameibua masuala tata ya kikatiba kuhusu mchakato wa kuthibitisha waathiriwa wa dhulma. Agizo hilo lilitolewa baada ya waathiriwa wa mateso, utekaji nyara na kutoweshwa kwa lazima kudai kutengwa kwenye orodha ya watakaofidiwa.