- 633 viewsDuration: 4:42Serikali za kaunti na ile ya Kitaifa zimetakiwa kutenga fedha za kutosha kukabiliana na tatizo la afya ya akili. Wito huu ulitolewa wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kutoa hamasa kuhusu afya ya akili uliofanyiika katika kituo cha ushauri nasaha cha Amani ambapo washiriki walilalamikia kutelekezwa kwa watu ambao wanakumbwa na msongo wa mawazo ambao idadi yao inaendelea kuongezeka kila uchao. Mkurugenzi Mkuu wa Kituo hicho Florence Busiega ameonya kuwa ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa vifo vingi vitaendelea kushuhudiwa kutokana na changamoto za afya ya kiakili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive