Skip to main content
Skip to main content

Serikali yasambaza maji Kitui, Machakos, Makueni na Kajiado

  • | Citizen TV
    366 views
    Duration: 2:38
    Mpango wa serikali wa kuboresha huduma za maji katika maeneo kame ikiwemo kaunti za Kitui, Machakos, Makueni na Kajiado waendelea kushika kasi, huku zaidi ya wakazi elfu sitini wa kaunti ya Kitui wakitarajiwa kunufaika na huduma bora za maji na usafi wa mazingira kufuatia kutiwa saini kwa mkataba wa shilingi milioni mia nane arobaini wa utekelezaji wa mradi wa maji na usafi wa mazingira wa Kitui-Matuu.