Skip to main content
Skip to main content

Serikali yasema itakomesha makundi ya wahalifu jijini Nairobi

  • | KBC Video
    287 views
    Duration: 4:03
    Maafisa wa polisi wameanzisha operesheni ya kiusalama katika eneo la katikati mwa jiji kuu la Nairobi kufuatia hofu iliyoibuliwa ya kuongezeka kwa visa vya wizi. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akizungumza mjini Bungoma wakati wa mkutano wa Jukwaa La Usalama alifichua kuwa kuna mikakati inayowekwa ya kuwahamisha maafisa wa sasa wa polisi pamoja na kushughulikia mapungufu ya kiusalama. Haya yanajiri huku kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Nairobi Central Philemon Nyakombo akisema wamewakamata watu kadhaa wanaoshukiwa kuhusika na visa hivyo humu jijini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive