- 28 viewsDuration: 1:29Serikali imetakiwa kurekebisha mabomba ya maji yaliyo chini ya usimamizi wa kampuni ya Maji ya Nolturesh huko Loitokitok, Kaunti ya Kajiado, ili kukabiliana na uhaba wa maji ambao umewakumba wakazi kwa miaka mingi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive