- 122 viewsDuration: 1:24Serikali imetakiwa kuweka mikakati madhubuti ya kuwasaidia wajane kifedha na kuwapa ushauri nasaha, hasa wanaoishi katika mitaa ya mabanda katika Kaunti ya Trans Nzoia, kutokana na changamoto za maisha ikiwemo ukosefu wa mtaji wa kukidhi mahitaji ya msingi ya familia.