16 Jan 2026 10:15 am | Citizen TV 161 views Duration: 1:29 Idara ya afya imetakiwa kuanzisha mchakato wa kutoa hamasisho kwa umma kuhusu umuhimu wa kufanya ukaguzi wa saratani ya kizazi mapema iwezekanavyo.