3 Sep 2025 1:18 pm | Citizen TV 304 views Duration: 1:32 Serikali imezindua mpango wa kuleta mabadiliko katika idara ya magereza ambayo yanaangazia usasa, ukarabati na kusaidia utangamano wa waliomaliza kifungo chao na jamii.