Skip to main content
Skip to main content

Shahbal awataka wanasiasa kuepuka siasa katika Mombasa United

  • | Citizen TV
    755 views
    Duration: 1:19
    Suleiman Shahbal amewataka wanasiasa kuepuka kuingiza siasa katika timu ya Mombasa United baada ya kupandishwa daraja kushiriki Ligi Kuu ya Kenya. Shahbal amesisitiza umuhimu wa kuilinda timu hiyo dhidi ya mivutano ya kisiasa ili iweze kuzingatia maandalizi na ushindani katika ligi hiyo.