Skip to main content
Skip to main content

Shirika la Kenya Airways latoa huduma ya usafiri bila malipo kwa watalii wa ndani

  • | NTV Video
    2,964 views
    Duration: 1:11
    Kama njia moja ya kuimarisha sekta ya utalii shirika la ndege nchini, Kenya Airways kwa ushirikiano na mashirika mengine ya kibiashara limetoa huduma ya usafiri bila malipo kwa watalii wa ndani kwa ndani kusherehekea likizo ya krismasi na mwaka mpya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya