- 230 viewsDuration: 2:46Shirika la Moledecc linalohusisha viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Mombasa limezindua mpango wa kuwahamasisha vijana kuhusu uwekezaji na kujihusisha katika miradi ya maendeleo ili kuepuka kuwa vyombo vya kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu.