9 Jun 2026 1:18 pm | Citizen TV 727 views Duration: 3:28 Serikali kuu imethibitisha kufungwa kwa shule 15 katika Kaunti ya Narok pekee, hatua iliyolenga kuzuia mikasa zaidi kufuatia ongezeko la visa vya utovu wa nidhamu na uhalifu shuleni.