Shule 46 katika kaunti ya Isiolo zimepookea vifaa vya elimu ya kidijitali kupitia mradi wa uharakishaji uchumi wa kidijitali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Naibu mkurugenzi wa mawasiliano katika halmashauri ya teknolojia ya mawasiliano, Galgalo Fayo, alisema haya wakati wa usambazaji vifaa va kidijitali kwa shule ya msingi ya Wabera.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive