Skip to main content
Skip to main content

Shule ya msingi ya Kombuni yaanza kupanda mboga na miti ya matunda

  • | NTV Video
    472 views
    Duration: 3:00
    Katika Kaunti Ndogo ya Kalama, kaunti ya Machakos shule zimekuwa mstari wa mbele kupambana na njaa. Shule ya Msingi ya Kombuni imeanza kupanda mboga na miti ya matunda, si kwa masomo pekee bali pia kuhakikisha wanafunzi wanapofungua shule, chakula tayari kipo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya