Wakazi wa kijiji cha Kugitura, eneo la Kuria Magharibi katika kaunti ya Migori wamefadhaishwa na hali duni ya muundo mbinu katika shule ya msingi ya Kugitura wakisema ni kikwazo kwa juhudi za wanafunzi za kupata elimu bora. Wakiongea shuleni humo ambapo wanafunzi wanasomeshewa kwenye madarasa mabovu yaliyo katika hatari ya kuporomoka, wakazi hao waliishutumu serikali ya kaunti kwa kupuuzilia mbali elimu ya chekechea tangu ilipogatuliwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News