- 785 viewsDuration: 3:38Siku ya nne baada ya wanafunzi wa gredi ya kumi kuanza kuripoti sekondari ya juu, baadhi ya shule zimeendelea kuandikisha idadi ya chini ya wanafunzi. Baadhi ya shule katika kaunti ya Nakuru na Kisii zikiandikisha idadi ya chini ya wanafunzi kumi, licha ya nyingine kuhitajika kuwa na wanafunzi zaidi ya 90